BREAKING NEWZZZZZ: ALIYEKUWA KATIBU MKUU TAIFA WA CHADEMA DKT MASHINJI AHAMIA CCM.

  Masama Blog      
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Vincent Mashinji ametangaza kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Februari 18, Ofisi ndogo za chama hicho mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam.


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/38EEvwG
via
logoblog

Thanks for reading BREAKING NEWZZZZZ: ALIYEKUWA KATIBU MKUU TAIFA WA CHADEMA DKT MASHINJI AHAMIA CCM.

Previous
« Prev Post