AMIRI JESHI MKUU RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WANAFUNZI 128 WA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA (JWTZ), IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

  Masama Blog      

Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua Gwaride la Heshma lililoandaliwa na Maafisa Wanafunzi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kundi la 67/19 kabla ya kuwatunuku Kamisheni kuwa Maofisa katika Cheo cha Luteni Usu katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam
Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwatunuku Kamisheni katika Cheo cha Luteni Usu Maafisa Wanafunzi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kundi la 67/19 katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.
Maafisa Wanafunzi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakivalishana vyeo vipya mara baada ya kutunukiwa Kamisheni katika Cheo cha Luteni Usu na Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika hafla
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania (CDF) Jenerali Venance Mabeyo, Naibu Spika Tulia Ackson, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi, Viongozi mbalimbali wa Jeshi la Wananchi pamoja na Maafisa Wanafunzi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kundi la 67/19 mara baada ya kuwatunuku Kamisheni Ikulu jijini Dar es Salaam.
Maafisa Wanafunzi wa Jeshi la Wananchiwa Tanzania (JWTZ) kundi la 67/19 wakiondoka katikaviwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam mara baada yakutunukiwa Kamisheni katika Cheo cha Luteni Usu na Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli.
Maafisa Wanafunzi wa Jeshi la Wananchi waTanzania (JWTZ) wakila Kiapo cha Utii kwa Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuwatunuku Kamisheni Ikulu jijini Dar es Salaam.

PICHA NA IKULU

Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli katika Hafla ya kutunuku kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi 128 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) iliyofanyika Ikulu JijiniDar es Salaam leo Februari 8, 2020, ambapo kati ya hao 108 ni Wanaume na 20 ni wanawake.
Kikundi cha Ngoma kutoka Kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa Makutupola Jijini Dodoma, kikitoa burudani katika hafla ya kutunuku kamisheni ilifanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Februari 8, 2020.
Picha na Idara ya Habari-MAELEZO


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2H7dAh4
via
logoblog

Thanks for reading AMIRI JESHI MKUU RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WANAFUNZI 128 WA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA (JWTZ), IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Previous
« Prev Post