ZUIENI UTOAJI WA VIBALI VYA SUKARI-MAJALIWA

  Masama Blog      
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiangalia mashine ya kukamulia miwa ya sukari, wakati alipotembelea kiwanda cha kuzalisha sukari cha Zanzibar kilichopo katika eneo la Mahonda wilaya ya Kaskazini ‘A’ mkoa wa Kaskazini Unguja. Januari 18, 2020.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwa na mwenyeji wake, Mkurugenzi Mkazi wa kiwanda cha kuzalisha sukari cha Zanzibar, Rahim Bhaloo,akikagua shehena ya sukari, katika kiwanda hicho kilichopo katika eneo la Mahonda wilaya ya Kaskazini ‘A’ mkoa wa Kaskazini Unguja. Januari 18, 2020.
Wananchi wa kiwanda cha kuzalisha Sukari cha Zanzibar, wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia, baada ya kukagua Kiwanda hicho, kilichopo katika eneo la Mahonda wilaya ya Kaskazini ‘A’ Mkoa wa Kaskazini Unguja. Januari 18, 2020
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiangalia ramani ya nyumba za maafa, wakati alipokagua nyumba hizo, zilizopo Nungwi, Mkoa wa Kaskazini Unguja. Januari 18, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/37jZRic
via
logoblog

Thanks for reading ZUIENI UTOAJI WA VIBALI VYA SUKARI-MAJALIWA

Previous
« Prev Post