WIZARA YA AFYA YAKUTANA NA KAMATI YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII

  Masama Blog      
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mheshimiwa Ummy Mwalimu akitoa taarifa ya utekelezaji wa Bajeti ya Wizara (Fungu 52) kwa kipindi cha nusu mwaka 2019/2020 kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii hii leo Jijini Dodoma.
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mheshimiwa Salma Kikwete akichangia jambo mbele ya Kamati hiyo ilipokutana na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupokea taarifa ya utekelezaji wa Bajeti ya Wizara (Fungu 52) kwa kipindi cha nusu mwaka 2019/2020 hii leo Jijini Dodoma.
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mheshimiwa Joseph Mbilinyi akichangia jambo mbele ya Kamati hiyo ilipokutana na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupokea taarifa ya utekelezaji wa Bajeti ya Wizara (Fungu 52) kwa kipindi cha nusu mwaka 2019/2020 hii leo Jijini Dodoma. 
(Picha na Ofisi ya Bunge)


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/369H349
via
logoblog

Thanks for reading WIZARA YA AFYA YAKUTANA NA KAMATI YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII

Previous
« Prev Post