WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA, AWAJULIA HALI WAGONJWA KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA RUANGWA, MKOANI LINDI.

  Masama Blog      
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwa na Mkewe Mary, wakimsalimia Mzazi, Zulfa Juma, wakati wakiwajulia hali wagonjwa, katika Hospitali ya Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi, Januari 2, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mke wa Waziri Mkuu, Mary Majaliwa, akimjulia hali Mzazi, Zena Issa, wakati altpotembelea Wodi ya Wazazi, katika Hospitali ya Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi, Januari 2, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi, baada ya kuwajulia hali wagonjwa, katika Hospitali ya Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi, Januari 2, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2ZGTzXa
via
logoblog

Thanks for reading WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA, AWAJULIA HALI WAGONJWA KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA RUANGWA, MKOANI LINDI.

Previous
« Prev Post