WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA, AKUTANA NA WAKULIMA WA ZAO LA KOROSHO WA MKOA WA LINDI NA MTWARA

  Masama Blog      
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Wakuu wa Wilaya wa Mkoa wa Lindi na Mtwara, Makatibu Tawala wa Mikoa hiyo, Wakurugenzi  wa Benki ya TADB na CPB, katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi, kabla ya kikao na Wakulima wa zao la korosho wa Mikoa hiyo, Januari 3, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Wakulima wa zao la korosho wa Mkoa wa Mtwara na Lindi, katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, Januari 3, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/39C2SMv
via
logoblog

Thanks for reading WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA, AKUTANA NA WAKULIMA WA ZAO LA KOROSHO WA MKOA WA LINDI NA MTWARA

Previous
« Prev Post