WATAKAO KAA NYUMBA ZA MAAFISA, ASKARI MAGEREZA UKONGA WAPEWA NENO

  Masama Blog      
Mbunge wa jimbo la Ilala, Musa Azan Zungu akizungumza leo wakati wa uzinduzi wa nyumba za maafisa, na Askali Magereza zilizopo Ukonga jijini Dar es Salaam.

Na Avila Kingo, Globu ya Jamii
MBUNGE wa jimbo la Ilala, Musa Azan Zungu, amewaasa watakao kukaa katika nyumba za maafisa na Askari Magereza wawe waadilifu.

Ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa nyumba za maafisa na Askari Magereza zilizopo Ukonga jijini Dar es Salaam leo, nymba hizo imezinduliwa na Rais w Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Dkt. Magufuli.

"Sio mmepata mshahara mnatoka Banana mnajiokotea vitu mnaleta ndani humu mtajikuta mambo hayaendi kwahiyo mkiingia humu ndani ingizeni wake zenu ili kuwe na heshima kwa aliyejenga, aliyetoa pesa, na heshima ya Mwenyezi Mungu na mashekhe na mapadri waliokuja hapa" amesema Zungu.

 Zungu amesema kuwa nymba hizo zimeombewa na mashekhe, Paroko na maaskofu kwa hiyo wawe waadilifu kwenye nyumba hizo.


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2NMOyrl
via
logoblog

Thanks for reading WATAKAO KAA NYUMBA ZA MAAFISA, ASKARI MAGEREZA UKONGA WAPEWA NENO

Previous
« Prev Post