DOWNLOAD APP YETU HAPA

Vodacom Tanzania Plc yamzawadia shilingi Milioni 150 mshindi shindano la TUSUA MAPENE

  Masama Blog      
 Mkurugenzi wa kitengo cha dijitali na huduma za ziada Vodacom Tanzania Plc, Nguvu Kamanda (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi yenye  thamani ya shilingi 150,000,000/- mshindi wa shindano la TUSUA MAPENE na Vodacom , Eveneth Rutiyomba ambaye ni fundi cherehani  mkazi wa Kimara Bucha , hafla ya makabidhiano ilifanyika Kimara jijini Dar Es Salaam jana. Pichani katikati ni Afisa wa Huduma za Ziada Vodacom, Paulina Bisheko.
 Mkurugenzi wa kitengo cha dijitali na huduma za ziada Vodacom Tanzania Plc, Nguvu Kamanda (kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na mshindi wa shindano la TUSUA MAPENE, Eveneth Rutiyomba (kulia) pamoja na wazazi wake, John Ndebisa na Fasness Ndebisa
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2NDD6Os
via
logoblog

Thanks for reading Vodacom Tanzania Plc yamzawadia shilingi Milioni 150 mshindi shindano la TUSUA MAPENE

Previous
« Prev Post