UZINDUZI WA KAMPENI MPYA YA KIFUA KIKUU WILAYANI TUNDURU

  Masama Blog      
 Mratibu wa kifua kikuu na Ukoma Hospitali ya wilaya Tunduru mkoani Ruvuma Dkt Mkasange Kihongole akitoa elimu juu ya ugonjwa wa kifua kikuu kwa wananchi wa kijiji cha Naikula wilayani humo kabla ya uzinduzi rasmi wa kampeni ya Uelimishaji,uchunguzi na Upimaji wa ugonjwa huo  ambayo itafanyika Nyumba kwa nyumba inayolenga kutokomeza kabisa kifua kikuu kabla ya mwaka 2030 katika wilaya hiyo.from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2uGImul
via
logoblog

Thanks for reading UZINDUZI WA KAMPENI MPYA YA KIFUA KIKUU WILAYANI TUNDURU

Previous
« Prev Post