TANZIA:TAARIFA YA KIFO CHA ALHAJI MFAUME RASHID KAWAWA

  Masama Blog      
 Familia ya Marehemu Rashid Mfaume Kawawa inasikitika kutangaza kifo cha Kaka yao mkubwa Alhaji Mfaume Rashid Kawawa kilichotokea leo huko Madale. Msiba upo Madale kwa mzee Kawawa na  mazishi yatafanyika kesho Jumanne alasiri hapohapo Madale kwa mzee Kawawa.


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2t68cHK
via
logoblog

Thanks for reading TANZIA:TAARIFA YA KIFO CHA ALHAJI MFAUME RASHID KAWAWA

Previous
« Prev Post