TANZIA: Alhaji Mfaume Rashid Kawawa afariki dunia

  Masama Blog      
Alhaj Mfaume Rashid Kawawa

Familia ya Marehemu Rashid Mfaume Kawawa inasikitika kutangaza kifo cha Kaka yao mkubwa Alhaji Mfaume Rashid Kawawa kilichotokea leo huko Madale. Msiba upo Madale kwa mzee Kawawa na  mazishi yatafanyika kesho Jumanne alasiri hapohapo Madale kwa mzee Kawawa.

INNALILAH WAINNAILAIH RAJIUN


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/37qSvcW
via
logoblog

Thanks for reading TANZIA: Alhaji Mfaume Rashid Kawawa afariki dunia

Previous
« Prev Post