TAARIFA YA SHUKURANI,NA MISA YA KUMUOMBEA MAREHEMU JAKA MWAMBI

  Masama Blog      

Familia ya Captain, Balozi, Daktari Jaka Mgwabi Mwambi inapenda kuwashukuru kwa dhati wale wote waliokuwa nasi katika kipindi kigumu cha maombolezo ya kifo cha mpendwa wetu.

Pia, shukran za kipekee zimuendee Rais wa Jumhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa, Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete: Waziri Mkuu Mstaafu Edward Ngoyai Lowassa na Mizengo Kayanda Pinda. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapt (Mst), Mh.George H.Mkuchika (Mb).Naibu Waziri wa Nishati Mh. Subira Khamis Mgalu (MB) Pia Mwenyekiti wa CUF Ndugu Ibrahim Haruna Lipumba.

Jeshi la Wananchi la Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM), Madaktari wa Lugalo,Katibu wa Tume ya Utumishi, Wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania Urusi, Balozi Mbarouk Nassor,Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Urafilki Cha Lumumba Urusi, Wafanyakazi wa Benki ya Stanbic: Wakazi wote NHC –Kibada Estate. Wanafunzi wote wa Chuo cha Diplomasia, Lengeju,Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM),Wanafunzi wa Kifungilo Girls,

Familia ya Mohamed Sadique Kolofeti, Familia ya Marehemu Ditopile, Familia ya Marehemu Zangira, Familia ya Marehemu Kimario, Familia ya Andrew Kwayu, Familia ya Mzee Maembe, Familia ya Chrisant Mzindakaya, Familia ya George Lengeju, Familia ya Daktari William Mwengee, Wanafamilia wote wa Mzee Jakaya Mrisho Kikwete.

Ushirika wa Kunduchi Mtongani, Kwaya ya Mt Patricia- Morogoro Jumuiya ya Mtakatifu Filomena- Kigamboni-Kibada, Majirani, Ndugu, Jamaa na Marafiki wote. Ahsanteni sana na Mungu awabariki.

Familia ya Marehemu inapenda kuwakaribisha kwenye misa rasmi ya kushukuru na kumuombea marehemu itakayofanyika jumamosi ya tarehe 25-01-2020 nyumbani kwa Marehemu Kunduchi Beach Karibu na Magorofa mapya ya polisi.


Mawasiliano:
Juvenile Jaka Mwambi

+255 657-946 113
Proscovia Jaka Mwambi

+255 622 389 742


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/30JHJMr
via
logoblog

Thanks for reading TAARIFA YA SHUKURANI,NA MISA YA KUMUOMBEA MAREHEMU JAKA MWAMBI

Previous
« Prev Post