STARTIMES KURUSHA MICHUANO YA EMIRATES FA MUBASHARA

  Masama Blog      
Na.Khadija seif, Michuzi TV
 
KAMPUNI ya Startimes imepata nafasi na kibali cha kurusha Mashindano ya kombe la FA(Emirates cup) na ngao ya jamiii moja kwa moja kutoka nchini uingereza. 
 
Akizungumza na waandishi wahabari Meneja Masoko wa Kampuni hiyo David Malisa amesema imewasogezea wapenzi wa mpira karibu na Mashindano hayo hayo taruka mubashara kupitia ving'amuzi vyao kwa bei nafuu.
 
 "Mashindano hayo yataruka mubashara kwa lugha ya kiswahili hivyo tumefungua mwaka kwa mambo mazuri na mengi mazuri yatakuja kupitia King'amuzi cha Startimes," Hata hivyo amefafanua zaidi kuwa watanzania wengi ni wapenzi wa mpira wa miguu hivyo basi wamezingatia katika kuhakikisha wateja wanapata burudani ya mpira ya michuano ya kimataifa kama coppa italia na bundesliga na ligi za ulaya Kama UEFA na Euro 2020. "Kombe Hilo la Emirates FA raundi ya 3 yataanza kurushwa kuanzia januari 4 mwaka huu ," 
  Meneja Masoko wa Kampuni ya Startimes
 


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2ZRrzjr
via
logoblog

Thanks for reading STARTIMES KURUSHA MICHUANO YA EMIRATES FA MUBASHARA

Previous
« Prev Post