SPIKA Ndugai, aongoza Kikao cha Kamati ya Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA).

  Masama Blog      
 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai, akizungumza kwenye Kikao Cha Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA), kilichofanyika Jijini Dar es Salaam,
Tanzania.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai, akiendesha Kikao Cha Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA), kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, Tanzania.

Spika wa Bunge la Kenya na Mwenyekiti wa CPA Kanda ya Afrika, Mhe. Justine Muturi, akizungmza kwenye Kikao Cha Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA), kilichofanyika Jijini Dar esSalaam, Tanzania.
Mweka Hazina Msaidizi wa CPA, kwa kanda ya Afrika, Mhe. Elijah Okupa, akizungmza kwenye Kikao Cha Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA), kilichofanyika Jijini Dar es Salaam,Tanzania.

Mwakilishi wa CPA kutoka Afrika Mashariki(Kenya), Dkt.Makali Mulu, akizungmza kwenye Kikao Cha Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA), kilichofanyika Jijini Dar es Salaam,
Tanzania.
 

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai, akifurahi jambo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Nabimia na Mwakilishi wa CPA Kanda ya Kusini,Mhe.Benard Sibalatani (Kulia) na Spika wa Bunge la Kenya na Mwenyekiti wa CPA Kanda ya Afrika, Mhe. Justine Muturi(kushoto), mara ya kuwakaribisha Katika Ofisi ndogo za Bunge zilizoko Jijini Dar es Salaam, kwenye Kikao Cha Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA), kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai, akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Nabimia na Mwakilishi wa CPA Kanda ya Kusini, Mhe. Benard Sibalatani (Kulia) na Spika wa Bunge la Kenya na Mwenyekiti wa CPA Kanda ya Afrika, Mhe. Justine Muturi (kushoto), kabla ya Kikao Cha Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA), kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, Tanzania.


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/3aqjOGi
via
logoblog

Thanks for reading SPIKA Ndugai, aongoza Kikao cha Kamati ya Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA).

Previous
« Prev Post