RAIS MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE YA SEKONDARI MWANAKWEREKWE MJINI ZANZIBAR

  Masama Blog      
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suliuhu Hassan na viongozi wengine wakipata maelezo juu ya ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mwanakwerekwe
mjini Zanzibar kabla ya kuweka jiwe la msingi la shule hiyo ikiwa ni mojawapo ya shamrashamra za Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suliuhu Hassan na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolkojia wa Jamhuri ya Muungano Profesa Joyce Ndalichako na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki
Pembe Juma akikagua ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mwanakwerekwe mjini Zanzibar baada ya kuweka jiwe la msingi la shule hiyo ikiwa ni mojawapo ya shamrashamra za Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suliuhu Hassan na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolkojia wa Jamhuri ya Muungano Profesa Joyce Ndalichako
na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma na Mwakilishi wa Benki ya Dunia akifunu pazia kuashiria kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mwanakwerekwe mjini Zanzibar
baada ya kuweka jiwe la msingi la shule hiyo ikiwa ni mojawapo ya shamrashamra za Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolkojia wa Jamhuri ya Muungano Profesa Joyce Ndalichako na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma wakipata picha na wanafunzi wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mwanakwerekwe mjini Zanzibar baada ya kuweka jiwe la msingi la shule hiyo ikiwa ni mojawapo ya shamrashamra za Sherehe za
miaka 56 ya Mapinduzi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suliuhu Hassan akimpongeza Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma akikagua ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mwanakwerekwe mjini Zanzibar baada ya kuweka jiwe la msingi la shule hiyo ikiwa ni mojawapo ya shamrashamra za Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolkojia wa Jamhuri ya Muungano Profesa Joyce Ndalichako na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mwanakwerekwe mjini Zanzibar baada ya kuweka jiwe la msingi la shule hiyo ikiwa ni mojawapo ya shamrashamra za Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi.


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2R4mlx3
via
logoblog

Thanks for reading RAIS MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE YA SEKONDARI MWANAKWEREKWE MJINI ZANZIBAR

Previous
« Prev Post