Ohoooo.....tii sheria bila shuruti

  Masama Blog      
Mbuzi nao wanafuata sheria bila shuruti kwa kutumia maeneo maalum ya kuvuka barabara! Wewe ni nani unayevuka barabara hovyo? Umeshindwa hata na mbuzi?
 
Eneo: Barabara ya Kawawa mbele kidogo tu ya Msimbazi centre kwenye makutano ya barabara ya kuelekea Jangwani, Dar es Salaam

Muda: Jana januari 12,2020,Picha kwa hisani ya Manyerere Jacktonfrom MICHUZI BLOG https://ift.tt/36PW1NA
via
logoblog

Thanks for reading Ohoooo.....tii sheria bila shuruti

Previous
« Prev Post