NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA KWENYE BLACK HISTORY MONTH HAMBURG,UJERUMANI

  Masama Blog      

Bendi ya maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya  “The Ngoma Africa Band”
aka FFU-Ughaibuni alimaarufu pia kwa majina ya utani kama viumbe wa ajabu
“Anunnaki Aliens” bendi inayoongozwa na mwanamuziki nguli kamanda Ras Makunja yenye maskani nchi Ujerumani, bendi hiyo inatarajiwa kutumbuiza katika onyesho kubwa la kufungua mwezi wa Black History Month yatakayofanyika jijini Hamburg siku ya jumamosi tarehe 1 February 2020 katika ukumbi wa Grunspan. Ngoma Africa Band imeweka rekodi ya kuwa bendi ya muziki ya kigeni inayodumu kwa miaka 27 barani ulaya na katika mmajukwaa ya kimataifa ,ilianzishwa mwaka 1993 ka kiongozi wake kamanda Ras Makunja.


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/37DR9Me
via
logoblog

Thanks for reading NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA KWENYE BLACK HISTORY MONTH HAMBURG,UJERUMANI

Previous
« Prev Post