NEWZ ALERT YA AJALI:GARI NDOGO YAGONGA TRENI LEO JIJINI DAR

  Masama Blog      
 Gari dogo limeigonga Garimoshi lililokuwa linatoka Dar es Salaam kuelekea Mpanda, Kigoma, Mwanza na Tabora. Ajali hiyo imetokea leo Januari 8, 2020 katika eneo la Vigunguti majira ya SAA 2:00 asubuhi ambapo Dereva wa gari dogo amekimbizwa hospitalini kwa matibabu. 

Tutawaletea taarifa zaidi kadiri ya zitakavyopatikana kutoka mamlaka husika


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2s3eyXF
via
logoblog

Thanks for reading NEWZ ALERT YA AJALI:GARI NDOGO YAGONGA TRENI LEO JIJINI DAR

Previous
« Prev Post