NAOMBA IANZISHWE BANK YA TADB ILI KUWAINUA WAKULIMA -RC RUVUMA

  Masama Blog      
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe. Christina Mndeme ameiomba benki ya maendeleo ya kilimo Tanzania (TADB) kufungua tawi la benki hiyo katika mkoa huo pamoja na kuanzisha viwanda vya kuchakata mazao. 

Mndeme amesema kuwepo kwa benki hiyo kutawasaidia wakulima wa mkoa huo kukopa pesa na kuziingiza katika kilimo na kuwainua kiuchumi na uwepo wa viwanda kutasaidia kuongeza mnyororo wa thamani pamoja na kutoa fulsa ya ajira kwa wanaruvuma.


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2T6cNnS
via
logoblog

Thanks for reading NAOMBA IANZISHWE BANK YA TADB ILI KUWAINUA WAKULIMA -RC RUVUMA

Previous
« Prev Post