NAIBU WAZIRI SHONZA AKUTANA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA VIZIWI 'KISUVITA'.

  Masama Blog      
 Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza leo 23.01.2020 amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Chama cha Viziwi cha KISUVITA ambapo amewapongeza kwa kuwa mwenyeji wa mashindano ya Miss Deaf Afrika na  amewaahidi kuwapa ushirikiano katika kuhakikisha mashindano hayo yanafanikiwa.Mashindano hayo yatakayojumuisha nchi zaidi ya 14 kutoka Afrika yanatarajiwa kufanyika mwezi Aprili.from MICHUZI BLOG https://ift.tt/30YQv9p
via
logoblog

Thanks for reading NAIBU WAZIRI SHONZA AKUTANA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA VIZIWI 'KISUVITA'.

Previous
« Prev Post