MWAKILISHI MKAZI WA UMOJA WA MATAIFA AJITAMBULISHA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

  Masama Blog      
 Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome (kulia) akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Bi. Christine Musisi alipomtembelea ofisini kwake, Mji wa Serikali Mtumba, Jijini Dodoma kwa ajili ya kujitambulisha. Mwingine pichani ni  Bw. Godfrey Mulisa Mtaalam wa masuala ya utawala wa Umoja wa Mataiafa. 

Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome (kushoto) akiongea na Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Bi. Christine Musisi (kulia) alipomtembelea ofisini kwake, Mji wa Serikali Mtumba, Jijini Dodoma kwa ajili ya kujitambulisha. Wengine pichani ni Wakurugenzi kutoka Wizarani hapo


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/315hvE4
via
logoblog

Thanks for reading MWAKILISHI MKAZI WA UMOJA WA MATAIFA AJITAMBULISHA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

Previous
« Prev Post