MATUKIO MBALIMBALI YA ZIARA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ZANZIBAR

  Masama Blog      

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwa na mwenyeji wake, Mkuu wa Mkoa wa Ayoub Mohammed Mahmoud, akichuma nyanya katika kitalu nyumba cha mradi wa wakulima wa Jozani, wakati alipokagua miradi ya jamii katika kilimo cha kisasa, mkoani Kusini Unguja. Januari 17, 2020. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua maendeleo ya ujenzi wa maabara ya sayansi ya shule ya sekondari Bwejuu, katika Mkoa wa Kusini Unguja. Januari 17, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi, baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa maabara ya sayansi ya shule ya sekondari Bwejuu, katika Mkoa wa Kusini Unguja. Januari 17, 2020.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwapa samaki chakula,kwenye bwawa la kufugia samaki, wakati alipokagua miradi ya jamii katika kilimo cha kisasa, kwa wakulima wa Jozani, mkoani Kusini Unguja. Januari 17, 2020
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwapa kasa chakula,kwenye bwawa la kufugia kasa, wakati alipokagua miradi ya jamii katika kilimo cha kisasa, kwa wakulima wa Jozani, mkoani Kusini Unguja. Januari 17, 2020.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akimshika kobe, wanaohifadhiwa katika hifadhi ya Jozani, mkoani Kusini Unguja. Januari 17, 2020.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiweka jiwe la msingi la Huduma za Mama na Mtoto, Bambi mkoani Kusini Unguja. Januari 17, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiangalia kitanda cha wazazi, baada ya kuweka jiwe la msingi la Huduma za Mama na Mtoto, Bambi mkoani Kusini Unguja. Januari 17, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi, baada ya kuweka jiwe la msingi la Huduma za Mama na Mtoto, Bambi mkoani Kusini Unguja. Januari 17, 2020


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/3anYkda
via
logoblog

Thanks for reading MATUKIO MBALIMBALI YA ZIARA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ZANZIBAR

Previous
« Prev Post