Ticker

10/recent/ticker-posts

MATOKEO KIDATO CHA NNE,QT 2019 YATANGAZWA.

 
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania Dkt Charles Msonde akitangaza matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Nne, Maarifa (QT) na Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne na Kidato cha Pili iliyofanyika 2019. Matokeo hayo yanapatikana kwenye tovuti ya NECTA.


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2uzLqIJ
via

Post a Comment

0 Comments