MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI HOSPITALI YA MAMA NA MTOTO,KIVUNGE MKOA WA KASKAZINI UNGUJA.

  Masama Blog      
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Mama na Mtoto Katika Hospitali ya Wilaya ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja jana  Januari 09,2020 ikiwa ni moja ya shamra shamra ya Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yanayotarajiwa kuadhimishwa tarehe 12 Januari 2020.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo Juu ya Maendeleo ya Ujenzi wa Mradi wa Jengo la Hospitali ya Mama na Mtoto Katika Hospitali ya Wilaya ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja kutoka kwa Daktari Dhamana wa Hospitali hiyo Dkt. Tamim Hamad Said, jana Januari 09,2020, ikiwa ni moja ya shamra shamra ya Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yanayotarajiwa kuadhimishwa tarehe 12 Januari 2020.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwahutubia Viongozi na Wananchi kwenye sherehe ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Mama na Mtoto Katika Hospitali ya Wilaya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja jana Januari 09,2020 ikiwa ni moja ya shamra shamra ya Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yanayotarajiwa kuadhimishwa tarehe 12 Januari 2020.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, katikati akiwa Katika picha ya pamoja na Viongozi na Watendaji wa Wizara ya Afya na Maendeleo ya Jamii Zanzibar baada ya kuweka Jiwe la Msingi  Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Hospitali ya Mama na Mtoto Katika Hospitali ya Wilaya  Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja jana  Januari 09,2020 ikiwa ni moja ya shamra shamra ya Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yanayotarajiwa kuadhimishwa tarehe 12 Januari 2020.


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2R2Hp71
via
logoblog

Thanks for reading MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI HOSPITALI YA MAMA NA MTOTO,KIVUNGE MKOA WA KASKAZINI UNGUJA.

Previous
« Prev Post