MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSIANA NA MARADHI YA EBOLA YAFANYIKA ZANZIBAR

  Masama Blog      
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Kinga na Elimu ya Afya Juma Salum Mbwana akitoa hotuba ya ufunguzi wa kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Maradhi ya Ebola ambapo kwa Tanzania hakuna maradhi hayo hafla iliofanyika katika ukumbi wa Hospitali ya wagonjwa wa Akili Kidongo chekundu Zanzibar.
Mkuu wa kitengo cha Elimu ya Afya Zanzibar Halima Ali Khamis akitoa mafunzo kwa Waandishi wa Habari  kuhusiana na Maradhi ya Ebola ambapo kwa Tanzania hakuna maradhi hayo hafla iliofanyika katika ukumbi wa Hospitali ya wagonjwa wa Akili Kidongo chekundu Zanzibar.

Msaidizi wa Mkuu wa Kitengo cha Elimu ya Afya Abdulrahman Kwaza akitoa ufafanuzi baadhi ya maswala katika mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Maradhi ya Ebola ambapo kwa Tanzania hakuna maradhi hayo hafla iliofanyika katika ukumbi wa Hospitali ya wagonjwa wa Akili Kidongo chekundu Zanzibar.
 
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2TrtjyU
via
logoblog

Thanks for reading MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSIANA NA MARADHI YA EBOLA YAFANYIKA ZANZIBAR

Previous
« Prev Post