Maafisa Waandikishaji wasaidizi Daftari la kudumu la wapiga kura wapewa mafunzo Tandahimba

  Masama Blog      

Ofisa Mwandikishaji  Daftari la kudumu la wapiga kura Jimbo Tandahimba Said Msomoka akisoma hotuba ya ufunguzi  wa semina ya mafunzo ya uandikishaji .

 Mwezeshaji George Kashura akitoa mafunzo kwa Maafisa Waandikishaji wasaidizi  Daftari la kudumu la wapiga kura ngazi ya kata


Ofisa Mwandikishaji  Daftari la kudumu la wapiga kura Jimbo Tandahimba Said Msomoka  akimsikiliza Ofisa Mwandikishaji 


Afisa Mwandikishaji Daftari la kudumu la wapiga kura Jimbo la Tandahimba Said Msomoka, amewataka  Maafisa Waandikishaji wasaidizi ngazi ya kata  kuifanya kazi hiyo kwa ufanisi,bidii na moyo wa kujituma ili kufanikisha zoezi hilo kwa ufanisi.

Ameyasema hayo leo alipokuwa akifungua mafunzo ya Uandikishaji Daftari la kudumu la wapiga kura kwa Maafisa Waandikishaji wasaidizi ambayo yamefanyika  katika ukumbi wa Halmashauri  ya Tandahimba.

"Ni matumaini yangu kuwa semina ya mafunzo haya yatasaidia kuwapa elimu ya kutosha itakayomwezesha  kila mmoja kutekeleza wajibu  wake katika kata yake husika

Naye mwezeshaji wa mafunzo hayo ya Daftari la kudumu la wapiga kura, George Kashura aliwataka washiriki hao kuwa makini katika utekelezaji wa uandikishaji katika daftari la kudumu la  wapigafrom MICHUZI BLOG https://ift.tt/35oqKjA
via
logoblog

Thanks for reading Maafisa Waandikishaji wasaidizi Daftari la kudumu la wapiga kura wapewa mafunzo Tandahimba

Previous
« Prev Post