KUTOKA MTAANI KWETU LEO NDANI YA KINONDONI

  Masama Blog      


Wananchi wakiwa wamefurika kwenye mnada unaofanyika katika viwanja vya biafra wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam wakinunua mahitaji mbalimbali ,kama wanavyoonekana pichani hii imekuwa ni kawaida katika maeneo mbalimbali ya jiji . (picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi TV)

Wakinamama wakiewa katika zoezi la kusagula sagula viwalo mbalimbalikatika mnada unaofanyika katika viwanja vya Biafra, wilaya ya Kinondini Dar es salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv).


Wananchi wa jiji la Dar es Salaam wakiwa katika harakati za kutafuta mahitaji yao mabalimbali katika mnada unaofanyika katika viwanja vya Biafra, wilaya ya Kinondini Dar es salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2tjLE6l
via
logoblog

Thanks for reading KUTOKA MTAANI KWETU LEO NDANI YA KINONDONI

Previous
« Prev Post