KUTOKA MTAANI KWETU LEO NDANI YA MBEZI LUIS,UBUNGO

  Masama Blog      
Wafanya biashara mbalimbali wakiwa katika Makutano ya Barabara ya Morogoro na Goba Mbezi Luis wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam wakiwasubiri wateja wanaotoka sehemu mbalimbali za jiji kununua mahitaji yao kama inavyoonekana pichani.(Picha na Emmanuel Massaka Michuzi Tv)

Wafanya biashara wakisubiri wateja .  
Vijana wa Bobadoba  wakiwa katika kituO cha Mabasi cha Mbezi Luis  wilaya ya Ubungo  jijini Dar es Salaam wakisubiri wateja kama wanvyoonekana pichani)


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2S0BkIL
via
logoblog

Thanks for reading KUTOKA MTAANI KWETU LEO NDANI YA MBEZI LUIS,UBUNGO

Previous
« Prev Post