KIKAO CHA MWENYEKITI WA CCM RAIS MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA VIONGOZI,WATENDAJI WA CHAMA NA JUMUIYA ZAKE ZA MIKOA NA WILAYA JIJINI DAR LEO

  Masama Blog      
 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa (CCM) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anaongoza kikao cha Viongozi na Watendaji wa Chama na Jumuiya zake za Mikoa na Wilaya. Kikao kinachofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es salaam.Januari 24, 2020


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2GgzX3a
via
logoblog

Thanks for reading KIKAO CHA MWENYEKITI WA CCM RAIS MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA VIONGOZI,WATENDAJI WA CHAMA NA JUMUIYA ZAKE ZA MIKOA NA WILAYA JIJINI DAR LEO

Previous
« Prev Post