DOWNLOAD APP YETU HAPA

KAMATI YA BUNGE PIC YAJADILI TAARIFA YA UWEKEZAJI PIC

  Masama Blog      

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma yapokea
taarifa ya Uwekezaji uliofanywa na Serikali katika Tanzania Zambia
Railways Authority (TAZARA) katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.

Waliohudhuria Kamati hiyo ni pamoja na Wajumbe wa kamati, Ofisi ya
Msajili wa Hazina na Mwenyekiti wa Bodi na Menejimenti ya TAZARA.
Vikao vya Kamati za Bunge vilianza tarehe 13 hadi tarehe 24 Januari,

(Picha na Ofisi ya Bunge).


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2QUSlVh
via
logoblog

Thanks for reading KAMATI YA BUNGE PIC YAJADILI TAARIFA YA UWEKEZAJI PIC

Previous
« Prev Post