JKCI na wenzao wa Cardiostart International tika nchini Marekani wafanya upasuaji mkubwa wa moyo

  Masama Blog      
Madaktari bingwa wa upasuaji wa moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao wa Shirika la Cardiostart International la nchini Marekani wakimfanyia mgonjwa upasuaji mkubwa wa kubadilisha valvu ya moyo iliyokuwa haifanyi kazi kwenye kambi maalum ya upasuaji wa moyo ya siku 12 kwa watoto na watu wazima ya inayoendelea katika Taasisi hiyo. Hadi sasa wagonjwa 15 ambao ni watu wazima saba na watoto nane wameshafanyiwa upasuaji na hali zao zinaendelea vizuri.

Madaktari bingwa wa upasuaji wa moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao wa Shirika la Cardiostart International la nchini Marekani wakimfanyia mgonjwa upasuaji mkubwa wa kubadilisha valvu ya moyo iliyokuwa haifanyi kazi pamoja na kurekebisha mishipa ya damu ya moyo kwenye  kambi maalum ya siku 12 ya upasuaji wa moyo kwa watoto na watu wazima inayoendelea katika Taasisi hiyo. Hadi sasa wagonjwa 15 ambao ni watu wazima saba na watoto nane wameshafanyiwa upasuaji na hali zao zinaendelea vizuri. Picha na JKCI from MICHUZI BLOG https://ift.tt/368UBMY
via
logoblog

Thanks for reading JKCI na wenzao wa Cardiostart International tika nchini Marekani wafanya upasuaji mkubwa wa moyo

Previous
« Prev Post