DKT.MWAKYEMBE AWATAKA WADAU WA MICHEZO KUENDELEZA MICHEZO KIMATAIFA KWA KUANDAA WASHIRIKI

  Masama Blog      
Makamu wa Rais wa chama cha riadha taifa William Kalaghe akimkabidhi fedha taslim kiasi cha milioni tatu Waziri Mwakyembe zikiwa ni kwa ajili ya maandalizi ya ushiriki wa wanariadha Failuna Abdi na Alphonse Simbu kwa ajili ya kambi yao picha na Ahmed Mahmoud Arusha.
Waziri wa habari Sanaa utamaduni na Michezo Harrison Mwakyembe akiongea na viongozi wadau wa vyama vya Michezo mbali mbali mkoani Arusha kwenye ukumbi wa ofisi ya mkoa wa Arusha kuhusiana na masuala ya Michezo changamoto na mafanikio picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha.

Katibu tawala wa wilaya ya Arusha mjini David Mwaiposa akiongea kwenye mkutano wa wadau wa vyama vya Michezo mkoani Arusha kwenye ukumbi wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Arusha picha na Ahmed Mahmoud Arusha.
Wadau wa Michezo wakifuatilia hotuba ya waziri wa habari utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Mwakyembe hayupo pichani kwenye ukumbi wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Arusha leo picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha.


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2NY7541
via
logoblog

Thanks for reading DKT.MWAKYEMBE AWATAKA WADAU WA MICHEZO KUENDELEZA MICHEZO KIMATAIFA KWA KUANDAA WASHIRIKI

Previous
« Prev Post