DKT. NDUGULILE ALIVYOAMSHA ARI YA WANANCHI KATIKA UJENZI ZAHANATI YA KATA YA ISANGE, BUSOKELO, RUNGWE MKOANI MBEYA

  Masama Blog      
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akitazama kuku aliopewa zawadi na wananchi wa Kata ya isange mara baada ya kushiriki ujenzi wa Zahanati yao na kuchangisha jumla yas h Millioni moja na laki tano.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akifuatlia burudani ya ngoma mara baada ya kushiriki ujenzi wa Zahanati ya Kata ya Isange kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Busokelo Anyusisye Njobelo.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akitazama moja ya msingi uliojengwa katka mija ya jengo la Hospitali ya Wilaya ya Rungwe kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Busokelo Anyusisye Njobelo. 
 
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akizungumza na wananchi wa Kata ya Isange Hlamashauri ya Busokelo mara baada ya kushiriki ujenzi wa Zahanati.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile (kulia) akichanganya saruji ya kupiga lipu katika mmoja ya jengo la zahanati ya Kata ya Isange wakati akishiriki ujenzi wa Zahanati hiyo kushoto ni Katibu Tawala Wilaya ya Rungwe Mnkondo Bendera .
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akipiga lipu moja ya jengo la Zahanati ya Kata ya Isange ambalo limejengwa kwa nguvu ya wananchi.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akiagana na Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Julius Chalya mara baada ya kumaliza ziara yake mkoani mbeya kujione shughuli za Afya na Maendeleo ya Jamii mkoani humo.
Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WAMJW


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/37aM0L2
via
logoblog

Thanks for reading DKT. NDUGULILE ALIVYOAMSHA ARI YA WANANCHI KATIKA UJENZI ZAHANATI YA KATA YA ISANGE, BUSOKELO, RUNGWE MKOANI MBEYA

Previous
« Prev Post