Benki Ya Exim Yatoa Msaada Wa Taulo Za Kike Kwa Wanafunzi Wa Sekondari Mkoani Iringa

  Masama Blog      
 Maofisa wa Benki ya Exim tawi la mkoa wa Iringa, wakiongozwa na Meneja wa Tawi la benki hiyo mkoani humo  Bw Michael Richard (Katikati) wakifurahi pamoja na wanafunzi Shule ya Sekondari ya Ruaha iliyopo mkoani humo  baada ya kukabidhi msaada wa taulo za kike kwa wanafunzi hao ikiwa ni sehemu ya mpango wa benki hiyo wa uwajibikaji wa kwa jamii (CSR) unaofahamika kama Exim Cares.
Maofisa wa Benki ya Exim tawi la mkoa wa Iringa, wakiongozwa na Meneja wa Tawi la benki hiyo mkoani humo  Bw Michael Richard (Katikati) wakiwa kwenye picha ya  pamoja na wanafunzi Shule ya Sekondari ya Ruaha iliyopo mkoani humo  baada ya kukabidhi msaada wa taulo za kike kwa wanafunzi hao ikiwa ni sehemu ya mpango wa benki hiyo wa uwajibikaji wa kwa jamii (CSR) unaofahamika kama Exim Cares.
 Meneja wa Benki ya Exim tawi la mkoa wa Iringa, Bw Michael Richard (Katikati) akikabidhi msaada wa taulo za kike kwa Mlezi wa wanafunzi wa kike wa Shule ya Sekondari ya Ruaha iliyopo mkoani humo  Bi. Fatuma Tembo (kushoto kwake) ikiwa ni sehemu ya mpango wa benki hiyo wa uwajibikaji wa kwa jamii (CSR) unaofahamika kama Exim Cares. Wanaoshuhudia ni baadhi ya maofisa wa benki hiyo pamoja na baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo.
 Meneja wa Benki ya Exim tawi la mkoa wa Iringa, Bw Michael Richard (Katikati) akikabidhi msaada wa taulo za kike kwa Mlezi wa wanafunzi wa kike wa Shule ya Sekondari ya Ruaha iliyopo mkoani humo  Bi. Fatuma Tembo (kushoto kwake) ikiwa ni sehemu ya mpango wa benki hiyo wa uwajibikaji wa kwa jamii (CSR) unaofahamika kama Exim Cares. Wanaoshuhudia ni baadhi ya maofisa wa benki hiyo pamoja na muwakilishi wa wanafunzi wa shule hiyo.


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/369RSTy
via
logoblog

Thanks for reading Benki Ya Exim Yatoa Msaada Wa Taulo Za Kike Kwa Wanafunzi Wa Sekondari Mkoani Iringa

Previous
« Prev Post