Ally Rehmtullah Azindua Duka la Kisasa la Mavazi Yaliyobuniwa na Wabunifu wa Tanzania

  Masama Blog      
 
Naibu Waziri Habari, Utamduni,Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza akiwa ameshika moja kati ya bidhaa zilizobuniwa na Mbinufu wa mitindo ya mavazi wa Tanzania, Ally Rehmtullah mara baada ya kuzindua duka la mavazi ya aina mbalimbali yaliyobuniwa na Rehmtullah. Hafla iliyofanyika leo Chole Road Masaki jijini Dar Es Salaam  
Naibu Waziri Habari, Utamduni,Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza akizungumza  jambo na Mbinufu wa mitindo ya mavazi wa Tanzania, Ally Rehmtullah kwenye hafla ya uzinduzi wa duka la mavazi na mitindo yaliyobuniwa na wabunifu wa Tanzania
 
Naibu Waziri Habari, Utamduni,Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza akiwa kwenye picha ya pamoja na wabunifu mbalimbali


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/38BUsDF
via
logoblog

Thanks for reading Ally Rehmtullah Azindua Duka la Kisasa la Mavazi Yaliyobuniwa na Wabunifu wa Tanzania

Previous
« Prev Post