Abiria wanusurika ajali Kibaigwa.

  Masama Blog      
Abiria waliokuwa wakisafiri na basi la Kamwana kutoka jijini Dodoma kuelekea Dar wamenusurika kwa mara ya pili baada ya basi hilo kutaka kuwaka moto lilipopasuka mpira wa nyuma kilomita 15 kutoka Dumila.

Awali basi hilo lilipasuka mpira kilomita nne kabla ya kufika Kibaigwa. Askari wa Usalama barabarani tayar wamefika eneo la tukio na kuwatuliza abiria waliojawa na hofu

Baada ya kupasuka (Bust) tairi ilianza kuwaka moto,Lakin kwa bahat nzuri wafanyakazi wa basi hilo wamefanikiwa kuuzima moto kwa kutumia vifaa vya kuzimia moto vilivyomo ndani ya basi.


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2NhHxOX
via
logoblog

Thanks for reading Abiria wanusurika ajali Kibaigwa.

Previous
« Prev Post