WENYEVITI WAPYA WA VIJIJI NA VITONGOJI JIMBO LA KISESA MKOA WA SIMIYU WAAPISHWA, MBUNGE MH. LUHAGA MPINA AWATAKA WAKATAMBUE MAHITAJI YA WANANCHI, KUTANGAZA MAFANIKIO YA RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI

  Masama Blog      

Wenyeviti wa Vijiji, Vitongoji na wajumbe wao kutoka Jimbo la Kisesa wilayani Meatu Mkoa wa Simiyu wakila kiapo cha utii kwenye hafla iliyofanyika Mwandoya Makao Makuu ya Jimbo la Kisesa.
Wenyeviti wote wa Vijiji vya Jimbo la Kisesa Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi baada ya kuapishwa.
Wajumbe wa Serikali ya Kijiji cha Ikigijo Kata ya Mwabusalu Jimbo la Kisesa Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu baada ya kula kiapo
Wajumbe wa Serikali ya Kijiji cha Itinje Kata ya Itinje Jimbo la Kisesa Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu baada ya kula kiapo
Wajumbe wa Serikali ya Kijiji cha Lingeka Kata ya Lingeka Jimbo la Kisesa Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu baada ya kula kiapo
Wajumbe wa Serikali ya Kijiji cha Matale Kata ya Tindabuligi Jimbo la Kisesa Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu baada ya kula kiapoWajumbe wa Serikali ya Kijiji cha Mbugayabahnya Kata ya Mbugayabahnya Jimbo la Kisesa Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu baada ya kula kiapoWajumbe wa Serikali ya Kijiji cha Mwashata Kata ya Mwabuma Jimbo la Kisesa Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu baada ya kula kiapoWajumbe wa Serikali ya Kijiji cha Ntobo Kata ya Kisesa Jimbo la Kisesa Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu baada ya kula kiapoWajumbe wa Serikali ya Kijiji cha Nyanza Kata ya Mwakisandu Jimbo la Kisesa Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu baada ya kula kiapo
Wajumbe wa Serikali ya Kijiji cha Semu Kata ya Isengwa Jimbo la Kisesa Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu baada ya kula kiapo
Wajumbe wa Serikali ya Kijiji cha Ming’ongwa Kata ya Sakasaka Jimbo la Kisesa Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu baada ya kula kiapo.


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2DBW9Dw
via
logoblog

Thanks for reading WENYEVITI WAPYA WA VIJIJI NA VITONGOJI JIMBO LA KISESA MKOA WA SIMIYU WAAPISHWA, MBUNGE MH. LUHAGA MPINA AWATAKA WAKATAMBUE MAHITAJI YA WANANCHI, KUTANGAZA MAFANIKIO YA RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI

Previous
« Prev Post