WAZIRI MKUU AWA MGENI RASMI KATIKA MAHAFALI YA 45 YA IFM UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE JIJINI DAR ES SALAAM.

  Masama Blog      

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, wakati aliwasili kwenye kwenye mahafali ya 45 ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, Novemba 29, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo cha IFM, Dkt. Benson Bana, wakati aliwasili kwenye mahafali ya 45 ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, Novemba 29, 2019. Katikati ni Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia Wahitimu wa Chuo cha IFM, kwenye mahafali ya 45 ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini .
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, akizungumza na Wahitimu wa Chuo cha IFM, kwenye mahafali ya 45 ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. ,Novemba 29, 2019. 
Wahitimu wa Chuo cha IFM, wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, wakati akiwahutubia kwenye mahafali ya 45 ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. ,Novemba 29, 2019
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia Wahitimu wa Chuo cha IFM, kwenye mahafali ya 45 ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. ,Novemba 29, 2019. 
Wahitimu wa Chuo cha IFM, wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, wakati akiwahutubia kwenye mahafali ya 45 ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. ,Novemba 29, 2019
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa anaingia kwenye mahafali ya 45 ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha, yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. ,Novemba 29, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2OFzwVf
via
logoblog

Thanks for reading WAZIRI MKUU AWA MGENI RASMI KATIKA MAHAFALI YA 45 YA IFM UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE JIJINI DAR ES SALAAM.

Previous
« Prev Post