WAZIRI KAIRUKI ATEMBELEA MAONESHO YA NNE YA BIDHAA ZA VIWANDA VYA TANZANIA

  Masama Blog      
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Angellah Kairuki (wa pili kulia) akiwa ameambatana na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stela Manyanya pamoja Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) , Edwin Rutageruka wakati wakitembelea Maonesho ya Nne ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania yanayofanyika katika Uwanja wa Maonesho wa Mwalimu J.K. Nyerere (Sabasaba) uliopo Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam. from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2OYsZF5
via
logoblog

Thanks for reading WAZIRI KAIRUKI ATEMBELEA MAONESHO YA NNE YA BIDHAA ZA VIWANDA VYA TANZANIA

Previous
« Prev Post