Ticker

10/recent/ticker-posts

WAKALA WA VIPIMO (WMA) YASHIRIKI MAONESHO YA BIDHAA VIWANJA VYA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM



Deogratias Maneno Mkurugenzi wa Huduma za Biashara Wakala wa Vipimo (WMA) akiweka vizuri moja ya jiwe  linalotumika kupima uzito wa madini baada ya kulitoa kwenye sanduku maalum leo katika maonesho ya bidhaa yanayofanyika kwenye banda la Karume viwanja vya Sabasaba barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam ambapo taasisi hiyo inashiriki kushoto anayetazama ni Irene John Meneja Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma Wakala wa Vipimo (WMA).
Kutoka kushoto Deogratias Maneno Mkurugenzi wa Huduma za Biashara Wakala wa Vipimo (WMA) Irene John Meneja Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma Wakala wa Vipimo (WMA) na Almachius Pastory Kaimu Meneja Sehemu ya Ukaguzi na Ufuatiliaji Wakala wa Vipimo (WMA) wakitoa maelezo kwa mwandishi wa habari wa TBC Stanley Ganzel pamoja na Rose Eric mmoja wa wananchi waliotembelea katika banda hilo leo kwenye maonesho ya bidhaa yanayofanyika kwenye viwanja vya Sabasaba barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam leo.
Almachius Pastory Kaimu Meneja Sehemu ya Ukaguzi na Ufuatiliaji Wakala wa Vipimo (WMA) urefu na upana wa nondo ili kumlinda mtumiaji huku mwandishi wa habari wa TBC Stanley Ganzel pamoja na mmoja wa wananchi Rose Eric waliotembelea katika banda hilo wakishuhudia kushoto ni Irene John Meneja Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma Wakala wa Vipimo (WMA).
Almachius Pastory Kaimu Meneja Sehemu ya Ukaguzi na Ufuatiliaji Wakala wa Vipimo (WMA) urefu na upana wa bati (Guage) ili kumlinda mtumiajihuku mwandishi wa habari wa TBC Stanley Ganzel pamoja na Rose Eric mmoja wa wananchi  waliotembelea katika banda hilo wakishuhudia kutoka kushoto ni Deogratias Maneno Mkurugenzi wa Huduma za Biashara Wakala wa Vipimo (WMA) na Irene John Meneja Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma Wakala wa Vipimo (WMA).
Almachius Pastory Kaimu Meneja Sehemu ya Ukaguzi na Ufuatiliaji Wakala wa Vipimo (WMA) akitoa maelezo namna  ujazo wa vimiminika unavyopimwa.
Deogratias Maneno Mkurugenzi wa Huduma za Biashara Wakala wa Vipimo (WMA) akisisitiza jambo wakati alipokuwa akifafanua zaidi kwa wananchi waliotembelea banda hilo namna ujazo wa vimiminika unavyopimwa.
Muonekano wa banda la Wakala wa Vipimo WMA.


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2Plntez
via

Post a Comment

0 Comments