Vodacom Tanzania Plc yawafikia wateja wake wa kanda ya ziwa, msimu huu wa sikukuu yazindua simu mpya ya Smart Kitochi jijini Mwanza

  Masama Blog      


 
Wafanyakazi wa Kampuni ya mawasiliano ya  Vodacom wakiwa wamebeba bango lenye picha ya simu ya Smart Kitochi  wakati wa uzinduzi wa simu hiyo uliofanyika jijini Mwanza.
Kaimu  mkuu wa mauzo wa Kampuni ya mawasiliano ya  Vodacom kanda ya Ziwa, Ayubu Kalufya akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa simu ya Smart Kitochi, uliofanyika jijini Mwanza.
Wateja wa simu mpya za Smart Kitochi zenye uwezo wa 4G kutoka Vodacom wakipatiwa maelezo ya kuhusu simu hizo zitakazopatikana kwenye maduka ya Vodacom  nchini kote kwa bei ya shilingi 45,000/=  katika msimu huu wa sikukuu wakati wa uzinduzi wa simu hizo jijini Mwanza.
Wateja wa simu mpya za Smart Kitochi zenye uwezo wa 4G kutoka Vodacom, wakijipiga selfie kwa kutumia simu hiyo baada ya kuinunua jijini Mwanza, wakati wa uzinduzi wa simu hiyo inayopatikana kwenye maduka ya Vodacom nchini kote kwa bei ya shilingi 45,000/= katika msimu huu wa sikukuu.


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2RUBsLC
via
logoblog

Thanks for reading Vodacom Tanzania Plc yawafikia wateja wake wa kanda ya ziwa, msimu huu wa sikukuu yazindua simu mpya ya Smart Kitochi jijini Mwanza

Previous
« Prev Post