VIJANA KUTOKA SEHEMU MBALIMBALI WAHITIMU MAFUNZO YA UJUZI WA UTENGENEZAJI NA UENDESHAJI WA MITAMBO YA KILIMO MKOANI MOROGORO

  Masama Blog      
Hitimisho la kuwapatia ujuzi wa mitambo Mbali mbali ya Kilimo iliyofanyika Wilayani Mvomero mkoani Morogoro iliyowajumuisha Vijana mbali mbali kutoka Nchi Nzima na ambayo ilifungwa na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro kwa Niaba ya Waziri wa Kilimo Mhe, Josephat Hasunga na kuhudhuriwa na Mbunge wa Sumve Mhe.Richard Ndasa na Mwenyekiti wa TPSF Bi Angelina Sabina Ngalula na Mkurugenzi wa TPSF Bw Simbeye.

Mafunzo Hayo yaliyochukua Mwezi Mmoja yaliwajumuisha Vijana wapatao 135 na yalilenga Kuwaapa Hamasa na kujikita zaidi kwenye Kilimo cha kisasa kwa kutumia nyenzo za kisasa ili kuwaletea Tija na Ufanisi pia kuwajengea uwezo wa kujiajiri kupitia Kilimofrom MICHUZI BLOG https://ift.tt/2PM0B9x
via
logoblog

Thanks for reading VIJANA KUTOKA SEHEMU MBALIMBALI WAHITIMU MAFUNZO YA UJUZI WA UTENGENEZAJI NA UENDESHAJI WA MITAMBO YA KILIMO MKOANI MOROGORO

Previous
« Prev Post