TaSUBa watangaza nafasi za masomo Intake ya March 2020

  Masama Blog      
Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) imetangaza nafasi za masomo zitakazoanza intake ya Mwezi Machi 2020.

Kwa mujibu wa TaSUBa, mwisho wa kutuma maombi hayo ni 20.02.2020.

Waombaji wametakiwa kutuma maombi yao kupitia barua pepe ya taasisi hiyo : application @tasuba.ac.tz au kutembelea mtandao wa taasisi hiyo: www.tasuba.ac.tz


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/35VdALJ
via
logoblog

Thanks for reading TaSUBa watangaza nafasi za masomo Intake ya March 2020

Previous
« Prev Post