TANZIA:MZEE AKILI MALI WA YANGA AFARIKI DUNIA

  Masama Blog      
Globu ya Jamii mapema leo ilipokea taarifa ya kufuriki Dunia ,kwa aliyekuwa Katibu wa Baraza la wazee Yanga, huko Bagamoy0,Mkoani Pwani.
 
Aidha tunawapa pole sana kwa Ndugu,Jamaa na Marafiki ikiwemo na Klabu ya Yanga sambamba na Mashabiki wake.

Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali pema peponi-Amin

TUTAENDELEA KUWAJUZA TAARIFA ZAIDI KUHUSIANA NA MSIBA HUU
KWA KADIRI YA TAARIFA ZITAKAVYOKUWA ZIKIPATIKANA


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2PHRhCE
via
logoblog

Thanks for reading TANZIA:MZEE AKILI MALI WA YANGA AFARIKI DUNIA

Previous
« Prev Post