TAARIFA YA KUHAMA KWA OFISI YA TUME YA UTUMISHI WA UMMA

  Masama Blog      

KUHAMA KWA OFISI

Tunapenda kuwataarifu Wananchi na Wadau wote kuwa Ofisi ya Tume ya Utumishi wa Umma (PSC) imehama kutoka Jengo la Ubungo Plaza, lililopo Barabara ya Morogoro.

Ofisi mpya ya Tume ya Utumishi wa Umma (PSC) iko katika Jengo la Luthuli 1, Ghorofa ya 3 na 4 lililokuwa linatumiwa na Ofisi ya Makamu wa Rais, lililoko Barabara ya Luthuli, Dar es Salaam.

KWA MAWASILIANO ZAIDI:-

Katibu,
Ofisi ya Rais,
Tume ya Utumishi wa Umma,
6 Mtaa wa Albert Luthuli, Ploti Namba 10
S.L.P. 9143,
DAR ES SALAAM
Simu:-         +(255)         738 166 703
Nukushi:-                
Barua Pepe:-         secretary@psc.go.tz
Tovuti:                  www.psc.go.tz


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2Sk92L1
via
logoblog

Thanks for reading TAARIFA YA KUHAMA KWA OFISI YA TUME YA UTUMISHI WA UMMA

Previous
« Prev Post