Ticker

10/recent/ticker-posts

SPIKA NDUGAI PAMOJA NA NAIBU SPIKA WA BUNGE LA CHINA WAZINDUA MPANGO WA USHIRIKIANO BAINA YA ASASI ZA TANZANIA NA ZA CHINA


Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Job  Ndugai (watatu kushoto) na  Naibu Spika wa Bunge la Watu wa China, Mhe. Ji Bingxuan (wa tatu kulia) wakizindua Mpango wa ushirikiano wa Asasi za kiraia za Tanzania na za China Jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki (wa kwanza kulia), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya UKIMWI, Mhe. Oscar Mukasa (wa kwanza kushoto) na Balozi wa China nchini Mhe. WANG Ke (wa pili kushoto).
Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Job  Ndugai akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mpango wa ushirikiano wa Asasi za Kiraia za Tanzania na za China Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Job  Ndugai (kushoto) akizungumza na  Naibu Spika wa Bunge la Watu wa China, Mhe. Ji Bingxuan (kulia) kabla ya  uzinduzi wa Mpango wa ushirikiano wa Asasi za Kiraia za Tanzania na za China Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Job  Ndugai (kushoto) katika picha ya pamoja  na  Naibu Spika wa Bunge la Watu wa China, Mhe. Ji Bingxuan (kulia) mara baada ya  uzinduzi wa Mpango wa ushirikiano wa Asasi za Kiraia za Tanzania na za China Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Job  Ndugai (kulia) akiagana  na Naibu Spika wa Bunge la Watu wa China, Mhe. Ji Bingxuan (katikati) mara baada ya  uzinduzi wa Mpango wa ushirikiano wa Asasi za Kirai za Tanzania na za China Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Balozi wa China nchini, Mhe. WANG Ke.

Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Job  Ndugai (katikati) akizungumza na Naibu Spika wa Bunge la Watu wa China, Mhe. Ji Bingxuan (kulia) alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Balozi wa China nchini, Mhe. WANG Ke.
Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Job  Ndugai pamoja na ujumbe wake (kulia) katika mazungumzo na Naibu Spika wa Bunge la Watu wa China, Mhe. Ji Bingxuan pamoja na ujumbe wake (kushoto) Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Job  Ndugai (kushoto) akimkabidhi zawadi ya picha ya Jengo la Bunge, Naibu Spika wa Bunge la Watu wa China, Mhe. Ji Bingxuan (kulia) mara baada ya mazungumzo Jijini Dar es Salaam.



from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2Mqngqb
via

Post a Comment

0 Comments