Ticker

10/recent/ticker-posts

SERIKALI KUSHIRIKIANA NA CHAMA CHA WATAALUMA WA SAYANSI NA TEKNOLOJIA YA CHAKULA TANZANIA

Mkurugenzi wa Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo kutoka  Wizara ya Viwanda na Biashara,Dkt. Consolatha Ishebabi akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka wa Chama cha wataaluma wa Sayansi na Teknolojia ya Chakula Tanzania, TAFST,leo katika Ukumbi wa kwanza wa Mwal. Nyerere, Chuo Kikuu cha Dar es salaam.Dkt Consolatha ameeleza kuwa Serikali ipo tayari kushirikiana na chama hicho pamoja na vyama vingine  mradi tu sheria za nchi zizingatiwe.Mwenyekiti wa chama cha wataaluma wa Sayansi na Teknolojia ya Chakula Tanzania, TAFST,Cosmas Jacoba kisoma  hotuba yake katika ufunguzi wa mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha wataaluma wa Sayansi na Teknolojia ya Chakula Tanzania, TAFST,leo katika Ukumbi wa kwanza wa Mwal. Nyerere, Chuo Kikuu cha Dar es salaam. Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Mkurugenzi wa Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo kutoka  Wizara ya Viwanda na Biashara,Dkt. Consolatha Ishebabi wakati wa ufunguzi wa mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha wataaluma wa Sayansi na Teknolojia ya Chakula Tanzania, TAFST katika Ukumbi wa kwanza wa Mwal. Nyerere, Chuo Kikuu cha Dar es salaam.  Mgeni Rasmi  Mkurugenzi wa Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo kutoka  Wizara ya Viwanda na Biashara,Dkt. Consolatha Ishebabi  akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano huo.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)



from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2M4ISIn
via

Post a Comment

0 Comments