RAIS MAGUFULI PAMOJA NA MKEWE MAMA JANETH MAGUFULI WASALI MISA TAKATIFU DOMINIKA YA PILI YA MAJILIO KATIKA KANISA KUU LA EPIFANIA PAROKIA YA BUGANDO JIJINI MWANZA

  Masama Blog      
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza Mhashamu Renatus Nkwande leo tarehe 8/12/2019.
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza Mhashamu Renatus Nkwande akihubiri katika Misa Takatifu ya Dominika ya pili ya Majilio iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Epifania Parokia ya Bugando jijini Mwanza leo tarehe 8/12/2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wamejumuika pamoja na waumini wengine wa Kanisa Kuu la Epifania Parokia ya Bugando jijini Mwanza katika Misa Takatifu ya Dominika ya pili ya Majilio iliyoongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza MhashamuRenatus Nkwande leo tarehe 8/12/2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikusanya Sadaka ya Ujenzi wa Kanisa katika Misa Takatifu ya Dominika ya pili yaMajilio iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Epifania Parokia ya Bugando jijini Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na waumini wa Kanisa Kuu la Epifania Parokia ya Bugando jijini Mwanza katika Misa Takatifu ya Dominika ya pili ya Majilio iliyoongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza Mhashamu Renatus Nkwande leo tarehe 8/12/2019.
 PICHA NA IKULUfrom MICHUZI BLOG https://ift.tt/2sSd42t
via
logoblog

Thanks for reading RAIS MAGUFULI PAMOJA NA MKEWE MAMA JANETH MAGUFULI WASALI MISA TAKATIFU DOMINIKA YA PILI YA MAJILIO KATIKA KANISA KUU LA EPIFANIA PAROKIA YA BUGANDO JIJINI MWANZA

Previous
« Prev Post