NAIBU SPIKA TULIA ACHANGIA WATOTO WASIOJIWEZA 11,AWAHIDI KUWASAIDIA MAHITAJI YA SHULE MSIMU MPYA

  Masama Blog      
 
Leo Decemba 22, 2019 Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson amefanya ibada katika kanisa  la Efatha Ministry la Mtume na Nabii Josephat Mwingira lililopo jijini Mbeya ambapo pia ameamua kuwasaidia watoto wasiojiweza kumi na moja (11) pesa za kununulia nguo za sikukuu za Krismasi na mwaka mpya ambapo kila mmoja amepata Tsh 50,000/=

Wakati huohuo Dkt. Tulia ameahidi kuwasaidia watoto hao mahitaji ya shule pindi watakapoanza msimu mpya wa mwaka 2020.


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2QdjFwm
via
logoblog

Thanks for reading NAIBU SPIKA TULIA ACHANGIA WATOTO WASIOJIWEZA 11,AWAHIDI KUWASAIDIA MAHITAJI YA SHULE MSIMU MPYA

Previous
« Prev Post