MAKAMU WA RAIS SAMIA ATEMBELEA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

  Masama Blog      
 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wazee wa Kijiji cha Moga Mpitile Wilaya ya Kaskazini (A) Mkoa wa Kaskazini Unguja wakati alipotembelea kijiji hicho leo Disemba 18,2019.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanafunzi wa Madrasa Mpitile katika Kijiji cha Moga Mpitile Wilaya ya Kaskazini (A) Mkoa wa Kaskazini Unguja wakati alipotembelea kijiji hicho leo Disemba 18,2019.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2Pw5sM0
via
logoblog

Thanks for reading MAKAMU WA RAIS SAMIA ATEMBELEA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

Previous
« Prev Post